mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Hali hii nikeishuhudia leo majira ya saa 9 hivi mi nilikua
naendesha daladala nilisimama katka kituo fulani nashusha abiria wakati natoa gari katika kituo nilimuona muendesha baskeli anakuja kwa nyuma ya gari langu kwa vile alikua mbali kdg sikusita kuliweka gari barabarani ili kuendelea na safari nikiwa katika pirika za kuliweka sawa nilimuona muendesha baske akinipungia mkono akiashiria nisimame mi nilisogeza tena gari pembeni akaja hadi mbele ya gari langu akafunguliwa mlango kabla ya kumalizia kusuka jamaa kampiga magumi ya maana na vibao damu ikaanza kutoka na uso kuvimba kama hamuri kila tulipotaka kumpa dada msaada jamaa anasema huyu ni mke wqngu hamuna haki ya kunizuiya nikatoa gari langu kukimbia ushahidi na hatia.
Na wanawheria mnaweza kutusaidia.
TWAHE WORK SHOP
Wana JF natumai muwazima wa Afya
Napenda kuwatangazia kua
work shop yetu inajishuhulisha na kutengeneza milango ya mageti kama ya nyumba au ktk maduka pia tunatengeneza milango ya rola shata na kuezeka magodauni na kufanya ripea kwa yale yanayohitaka
Ukihisi na kuhitaji kufahamu zaidi PM namba yako ili tuwasiliane au tuma ujumbe ktk 0777433260
Wanachama wa jf
ninabiashara ya pempasi za watoto jina lake ni KIDDI LOVE ziko poa sana kimatumizi na zinapatikana kwa bei nafuu kama kuna anaehitaji kufanya hii biashara anitafute pia natafuta mtu wa kushea nae biashara hii anaweza kuchapa kazi mafanikio yapo kulingana na jadueli hili
Pisi moja mimi nauza 8000 muna pempasi 26 kwa small midiam zimo 24 na large zimo 20
Kwa muuzaji wa rejareja akiuza kila 1 500 kwa biashara za kinyonge kwa huku kwetu zanzibar tunasema posho mlima na anaetaka kufaya biashara na mm atafute wateja kila kila pisi 1 tutauza 9000 na kila pisi tutayouza ya mshirika wangu yake ni shiling 1000 pesa yake ikikua nitamchukulia za kwake ajitegemee mi nitaanzisha wengine niko kwelini kwa anaona anaweza uaminifu ni kitu cha lazima
Unaweza kunipigia au kunitumia ujumbe ktk:
0777 433260 / 0713 476484
Hujakosea umesema kweli nami nilisema kweli na niliweka hio posti nilikua naendesha gari kweli ilikua nimepewa mualiko kwa siku hio sasa toka siku nimeweka post hadi leo sijapiga hata honi hebu jiulize nilipata mshahara wa kiasi gani ambao unifanye nishinde kujieleza pia sijasema km najiuwa ila nimesema mauti ni bora kwangu kuliko uhai
kila unachokiandika humu kinaacha evidence so face your ghost b4 u move forward jamani kuweni wakweli hata mtu kukusaidia atashindwa!!!na kama umekosa chakupost nyamazamtu mmoja huyu huyu anayetaka kujiua, juzi juzi alianzisha topic hizi...
kila unachokiandika humu kinaacha evidence so face your ghost b4 u move forward jamani kuweni wakweli hata mtu kukusaidia atashindwa!!!na kama umekosa chakupost nyamaza
Mtu mmoja huyu huyu anayetaka kujiua, juzi juzi alianzisha topic hizi...
Ujuzi ninao na fani ninazo na niliangalia mawazo ya hizo biasha ila hakuna ambayo imekua na imenisaidia hebu nakuomba rudia na zile ambazo niliweka kutafuta kazi kaka usiangalie upange 1 wa shilingi
Mtu mmoja huyu huyu anayetaka kujiua, juzi juzi alianzisha topic hizi...
Mijitu miongo kama wewe ndio mnasababishaga hata wenye shida za ukweli wasipewe msaada!!
Wewe ni tapeli na mvivu
Habari wana JF.
Hakika sina budi kusema la moyoni kwa huzuni na masikitiko imenibidi
niseme haya kwa hakika najihisi km mgeni katika dunia hii najiona
nimezama katika kina kikubwa cha maji sioni pakupata msaada nimekata
tamaa na maisha hasa nikiangalia ukubwa wa familia unaonitegemea huku
nikiwa sina mbele wa nyuma nimejaribu zaidi ya sana kutafuta japo
kibarua cha kupata 5000 kwa siku nijikimu na maisha imekua ngumu kila
pande ninayozunguka najiona km milango yangu ya riski imefungwa nimekosa
hata uwezo wa kufikiri akili imeganda naijiona km punguani yoyote
ataniona na kujua undani wangu hatoacha kutoa machozi kwa hakika
nahitaji msaada wa kwa wanachama japo wa mawazo.
Mungu akutangulieni kwa kila jambo milele amina