Mauwa

Mauwa

Mtumishi wa Mungu nenda kariakoo,lakini nadhani hata maeneo uliyopo unawezapata
 
Mbuyuni pale kona ya kuelekea kanisa la Saint peters (oysterbay) yapo teeleee....Red roses and white roses. Utakuta vijana hapo..
 
Ila kama unataka yale ya artifical hata stationery ya jirani na kwenu utayapata....!
 
Mbuyuni pale kona ya kuelekea kanisa la Saint peters (oysterbay) yapo teeleee....Red roses and white roses. Utakuta vijana hapo..

Thanks Moyo!
 
Basi mnunulie yale ya plastic ili yadumu milele.
Yanapatikana kibandani kwangu.

Best that will be a plastic love! Kwako nitakuja Nunua ice cream za ubuyu
 
Rev Happy new year good to see you again ..
0091.gif
0008.gif
 
Shoprite mlimani city wanauza bei rahisi sana. Yale ya kona ya st peters huwa wanashikisha, siku ya pili tu yananyauka. Angalia namanga, kwenye mataa there is Dina Florist. Ubebe ubishi wa bei kama wa kilo moja hivi...
 
Back
Top Bottom