Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
kukiwa takribani mwezi mmoja tangu wananchi watangaziwe ujio wa fbi kuja kuchunguza mlipuko wa bomu na kisha kushambuliwa kwa smg na bastola wanamchi waliojitokeza kwenye mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo tarehe 15.6.2013 rc wa Arusha magesa mulongo amekatakata kuwa fbi hawajawahi kuja arusha kuchuguza swala hilo licha ya awali kuvitangazia vyombo vya habari uwepo wa fbi jijini Arusha kuchungiza mlipuko huo alipobanwa na wandishi wa habari mulogo aligoma kuiongelea kauli yake ya zamani..
source: magazetini rfa gazeti mtanzania
source: magazetini rfa gazeti mtanzania