Kiaje mkuuMwendo umeumaliza 😎
Hmn itakuwa tuu ana Nia njema na nyumba yake tuu pengine sio wewe, au km vipi angalia mazingira mengineKiaje mkuu
Mtaalam hayo mambo unayaelewa?Mwendo umeumaliza 😎
Nayaelewa kiasi unaweza kuulizaMtaalam hayo mambo unayaelewa?
Zima huo mshumaaWakuu poleni na majukumu.Kuna nyumba hapa nimehamia Nina mwezi mmoja saiv.
Leo nimerudi jioni Nakuta mama mwenye nyumba yupo na mganga wechora huu mchoro hapo chini alafu wameweka mshumaa katikati.Alafu nicheki me ndo mpangaji pekeang wengine wote familia.View attachment 3286266