Mauzauza kwenye nyumba niliyopanga

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
88
Reaction score
296
Wakuu poleni na majukumu.Kuna nyumba hapa nimehamia Nina mwezi mmoja saiv.

Leo nimerudi jioni Nakuta mama mwenye nyumba yupo na mganga wechora huu mchoro hapo chini alafu wameweka mshumaa katikati.Alafu nicheki me ndo mpangaji pekeang wengine wote familia.
 
Usikute anataka kukuzindika usiingiliwe na popo bawa waache wamalizie tyu!
 
Mpige biti mganga uone kama wewe ndo mlengwa. Chukua panga anza kulinoa mbele yao huku unalia, wakikimbia tu ujuwe wewe ndio lengo.
 

Ingekuwa hiyo ningesema jambo. Inahusiana na muunganiko na mbingu

Ila hiyo nadhani kuna namna yao katika kupindisha mambo.

Sali na omba sana ulinzi wa Mungu kwenye kazi zako.

BTW. Hama kwenye hiyo nyumba hapakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…