Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule


Aisee tunatofautiana sana, unawezaje lala na mtu mmeonana siku hiyo hiyo?
 
Ukaaamua na kula afande kimasihara [emoji23][emoji23]

Vijana wa bongo uhuni ni pie
 
Misungwi hapo kuna bibi mmoja alikuwa mchawi sana anaitwa Ng'wanangoko yaani mtoto wa nyani. Huyo bibi mtoto wake aliolewa nΓ  mzee mmoja anaitwa Masenya.

Yaani huyo mtoto wa Ng'wanangoko alijikuta mama yake anawatengeneza wajukuu wake kuwa wehu, Misoji, Ng'obha na mwingine nimemsahau jina.
Hawa ndio kina Sembelu Mageta
 
Afande alikuwa anatafuta taarifa fiche kutoka kwako.Anyway,huyo alikuwa mke wangu.Jiandae nakudai ngwekwe. πŸ™„
 
Kanda ya ziwa ......bila uchawi... hautoboi
Huko ndio kwa kina Pascal Mayalla na Nyani Ngabu , ukiwaona ni wastaarabu kwelikweli kumbe kwenye wallet ana hirizi, mfuko wa shati pia una hirizi. Kila mfuko wa suruali una hiriza, kwenye soksi kuna hirizi, kwenye gari kuna hirizi, ofisini kuna hirizi...... yaaani..... bhaghooosha, nanogaga ghette
 
Ila warembo wa nchi hii ni ndoto zao kuolewa na hao watu.😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…