Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Umempa hukumu isiyo yake.Hayo mambo yamenitokea sana nilipokuwa nasafiri safari ndefu halafu ninakutana na mwanamke naye anasafiri peke yake.Mnaanza kwa kukaa siti za pamoja na kuzoeana.Mnaanza utani halafu mwisho au katikati ya safari mnaenda kuboresha stori ya "JINSI MLIVYOKUTANA SAFARINI"!Huyoo muhuni[emoji23] tena huenda hata story yenyewe ni ya kubumba.
Kwa yote yaliyotokea...halafu mwanzoni hakusema jinsi ya mtoto kaja kuesema baadae...ili itoe uhalali wa kutokulala nae.
Mshenzi wa tabia [emoji23][emoji23]