Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

Kijereshi, nilisha wahi pata Fogo fulani nikiwa IFM, tulizunguka almost Tanzania nzima. Nilispend 3 days pale Kijereshi, hoteli nzuri sana.
Namshuru Mungu kwa kuniokoa na kumpokea Yesu
Ukatupa mti na jongoo wake(mtu na jogoo wake)!Anyway,si mbaya sababu ulimpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wako!Amen to that!🙏
 
Kule ukiishi kama sio wa kanda ile uwe kamili kamili,hadi watoto wadogo ni vichawi,
Kuna mtu alileta ujinga kama huo wa kupeperusha,yan km upo kwa miguu unaelekea sehemu yeyote,au kama upo kwenye gari unaendesha sehem yeyote unawezajikuta umepata ajali bila kujua,

Alipofanya huo ujinga akajua hajui,mana watu wengine tuna sensa na hayo mambo,nilituma kombora mpaka leo hii haamini
 
Huyo Afande ulimla Kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…