Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

Huyoo muhuni[emoji23] tena huenda hata story yenyewe ni ya kubumba.

Kwa yote yaliyotokea...halafu mwanzoni hakusema jinsi ya mtoto kaja kuesema baadae...ili itoe uhalali wa kutokulala nae.

Mshenzi wa tabia [emoji23][emoji23]
Umempa hukumu isiyo yake.Hayo mambo yamenitokea sana nilipokuwa nasafiri safari ndefu halafu ninakutana na mwanamke naye anasafiri peke yake.Mnaanza kwa kukaa siti za pamoja na kuzoeana.Mnaanza utani halafu mwisho au katikati ya safari mnaenda kuboresha stori ya "JINSI MLIVYOKUTANA SAFARINI"!
 
Awa jamaa ata wanavyoongea unaweza zani kuna mtu anafufuliwa.
 
Mwisho wa siku mnaishia kula majini[emoji23][emoji23]
 
Huyoo muhuni[emoji23] tena huenda hata story yenyewe ni ya kubumba.

Kwa yote yaliyotokea...halafu mwanzoni hakusema jinsi ya mtoto kaja kuesema baadae...ili itoe uhalali wa kutokulala nae.

Mshenzi wa tabia [emoji23][emoji23]
Hivi kwanini JF kila kitu tunaona tunadanganywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…