Mauzauza ya online dating: Tuliowahi kudate mitandaoni tusimuliane hapa mambo yalivyokuwa kinyume na tunachodhania baada ya kukutana live

Mauzauza ya online dating: Tuliowahi kudate mitandaoni tusimuliane hapa mambo yalivyokuwa kinyume na tunachodhania baada ya kukutana live

Alinitumia picha yake nusu alikua mrembo wa kuvutia, siku tunakutana ndio nikajua ni kiwete mazeee....
Alikuja na Taxi kisha akateremka anatambaa, na kwakua nilikua uoande natazama entry door, nikaona ananipigia sim yaani nilikata na nikazima kisha nikatoweka eneo lile man...🤣
Mkuu umejitwalia dhambi kirahisi sana. Unaletewa thawabu, unazikimbia.
 
Back
Top Bottom