Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Kwa wale wana uchumi, naombeni maelezo mafupi kuhu Initial Public Offer (IPO) as far as suala la hisa is concerned.
 
Mambo ya msingi kama haya na namna ya kuyatatua kwa Tanzania hii ya sasa ni ngumu kujadilika na kuyapatia ufumbuzi, bali Habari za faru, viloba, bashite, utenguzi, uteuzi, matamko, vyeti vya kuzaliwa kabla ya ndoa nk
 
kama sio mtaalamu wa hayo mambo usichambue, maana utachambua kishabiki
 
Kwa wale wana uchumi, naombeni maelezo mafupi kuhu Initial Public Offer (IPO) as far as suala la hisa is concerned.
kwa uelewa wangu and i stand to be corrected..... IPO ni pale MARA YA KWANZA hisa za kampuni binafsi fulani zinatolewa kwa ajili ya mauzo kwa UMMA. Na mara nyingi huwa zinatolewa na kampuni ndogo ili kukuza mtaji na sababu nyingine hta kampuni kubwa zinaweza issue hizi IPO kma zinataka kuoperate publicly na umma wote uhusike kwenye manunuzi ya hisa!!!

wataalam wanaweza nisahihisha pia
 
Naomba mnisaidie tafadhali. Hivi soko la hisa likishuka ndo uchumi unakuwa umeongezeka? Au Ndo anguko kuu?
Kama umepitia history 2 Advance au hujalitia poa tu.
Shortly kushuka kwa hisa katika masoko ya hisa ni dalili mbaya mno kwa ustawi wa uchumi.
I know this is rhetoric question ,unajua vizuri.
Huyu mtu wenu mliyemweka madarakani mmmmhhhh
 
Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
Ha ha ha...Kweli elimu ni muhimu.Chukua hata muda kidogo kwa kutumia google kujua Security Market ni nini then utakuwa ktk nafasi nzuri ya kutoa maoni.Share za Vodacom ziko kwenye Initial Public Offer(IPO) baada ya hapo ndo zinaingizwa kwenye Security Market.
 
Hivi assume wengi humu hatutaki Magufuli apewe muhula wa pili. KITU AMBACHO NI HAKI YA KILA MPIGA KURA.

Swali langu ni nani ambaye anaweza kupewa hadhi ya kukaa lile jumba jeupe pale Magogoni ifikapo 2020? Hapa naulizia Upinzani. Maana CCM hakuna mwenye jeuri ya kumpinga asipewe second term.

Tusilalamike tuu..dreaming of changes bila kujadili...Mbadala wa MAGUFULI ni nani? Kule upinzani nani anaweza kuvaa viatu vya Uraisi na akawashawishi waTanzania kwamba anafaa kuwaongoza?.
 
Soko la Hisa kushuka si jambo la kushangaza kwa sasa watu wengi wana nunua bidhaa iliyopo Nje ya soko (hisa za voda) hivyo zilizopo sokoni watu hawa nunui. Kilichofanyika kati ya mwezi wa 11&12 hadi wa mwezi wa kwanza watu wengi wenye mitaji midogo waliuza Hisa zao ili wapate fedha za kununua Hisa za awali za makampuni ya simu. Hisa za voda zikiingia sokoni soko la Hisa litafanya biashara ya kutosha kwani zinaingia BIL 476 kwa wakati mmoja jambo ambalo halijawahi tokea. Barikiwa
 
Mfano mzuri sana huu,wewe wafaa kuwa mwalimu,hata mwanafunzi awe na kichwa kigumu vipi,atakuelewa tu.
 
daahh!nlitaka nijitusue vodacom
Jitose huu ndio wakati wa kununua nenda kwa Mawakala wote wanakiri mwamko wa ununuzi ni mkubwa Nina hakika mwezi wa tano zikiingia sokoni kama sikosei tar 16 zitapanda mara mbili au zaidi. Kama umenunua za 8,500,000/= utapata 17,000,000/=. Hautajuta ukinunua hisa za awali (IPO). Barikiwa
 
Hisa
Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
Hisa za voda hazijaingia sokoni zitaingia mwezi wa tano tar 16 usiangalie hizo BIL 32 watu wamepeleka fedha zao Voda BIL 476.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…