Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
wewe chizi unajua jana tuu mauzo yalikuwa juu? tafuta taarifa ya jana na wiki iliyopita
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tupeni majawabu sio kila siku tunasimuliana matatizo. Kama shida kila mtu ana zake kwa mfukoni....Toka lini kulalama kumebadilisha mambo?
 
Mwoshoni soko litafungwa kama matokeo ya maamuzi ya kukurupuka!
Suala hili ni kubwa na mimi naliangalia kama kiashiria kimoja cha uchumi kudorora, wawekezaji kukata tamaa na kuacha kuwekeza katika biashara, kufunga biashara na wale wa kutoka nje ya nchi kuondoka kwenda kuwekeza katika nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kibiashara kuliko ya Tanzania tunayo yajenga sasa. Viongozi waliangalie hili vizuri maana hata ukiwa mkali vipi, sekta binafsi ikikukataa huendi mbali utaanguka tu
 
Hata hivyo hilo soko la hisa limechelewa sana kuporomoka, kwakuwa Sizonje ana PhD ya maganda ya korosho
 
daahh!nlitaka nijitusue vodacom
Nunua kabla hujaanza kujilaumu.. Ups and downs ni kawaida kwenye stock market na hata huko duniani iko hivyo pia..

Mbona kuna wakati linapanda kuanzia billion 3 au 2 mpaka huko 30.. Achana na habari za siasa, kama unataka kununua stock tafuta broker akuelekeze sio hizi kelele za mabavicha na mauvccm..

Mfano mdogo; angalia hizi trend za mwaka jana... Mauzo jinsi yanavyofluctuate.. Isitoshe kuna factors nyingi zinazosababisha mauzo kupanda na kushuka. Kwa mwezi huu wiki iliyopita mauza yalikuwa juu sababu Vodacom waliingia rasmi na wengi walinunua shares na wiki hii ya mwisho mauzo yameshuka sababu Investors wengi wanasubiri quarterly reports za kampuni zilizoko DSE ili waone wapi ni viable kutupa pesa zao.. Perhaps hata wenyewe DSE walishatabiri hizi fluctuation na karata yao ikabaki wengi wanasubiri Telecommunication companies ziingie ndiko kuna safety ya kupiga pesa huko sababu kati ya sekta zinazokuwa kwa kasi nchini mawasiliano ni moja wapo...

dse.png
 
Maskini kibatari weee huna hata mia yakununua mchicha labda ununue hisa za udaku
Kilema cha akili, kama lilivyo jina lako, salam aleikhum!

Kuuzwa kwa hisa sokoni ndio nafasi ya maskini kuwa mmiliki wa kampuni kwa asilimia anazozimudu.

Yawezekana ukawa una amana kubwa zaidi yangu, lakini hisa huuzwa kwa watu waliotimiza miaka 18 na akili timamu. Kwa mantiki hiyo huwezi kumiliki hisa wewe
 
Mkeo anakwenda sokoni kununua mahitaji anapokuwa na hela au asipokuwa nazo? Soko la hisa ni soko kama lingine linalouza bidhaa; watu kama hawana fedha hawawezi kununua hisa na vivyo hivyo wanaotaka kuuza hisa zao hawawezi kuuza kwani hakuna wanunuzi!! Uchumi unapokua ndio watu wanapata ajira na kuwa na fedha za kwendea sokoni kwahiyo kama soko la hisa linadorola maana yake uchumi unasinzia!!! Hii ni ishara kwa serikali kuangalia sera zake za uchumi kama zinasaidia nchi au kuididimiza!
Asante sana kiongozi
 
Suala hili ni kubwa na mimi naliangalia kama kiashiria kimoja cha uchumi kudorora, wawekezaji kukata tamaa na kuacha kuwekeza katika biashara, kufunga biashara na wale wa kutoka nje ya nchi kuondoka kwenda kuwekeza katika nchi nyingine zenye mazingira mazuri ya kibiashara kuliko ya Tanzania tunayo yajenga sasa. Viongozi waliangalie hili vizuri maana hata ukiwa mkali vipi, sekta binafsi ikikukataa huendi mbali utaanguka tu
Well said!
 
Maz

Mazungu ni maongo tu mae zao, imf ni vibaraka wa mabepari kandamizi. Mkishaona mzungu tu mnashoboka mnaona kama malaika....aisee bora upigwe loba na teja la tandale kuliko majizi ya kizungu yanayotumia mwanya wa mashirika makubwa vibaraka na wase...wachache kama zito zuberi kabwe mnafiki mkubwa na kuwadi wa wajerumani
Sawa mkuu...

Uchumi wa nchi unakuwa kwa 20% basi [emoji23][emoji23]
 
Nunua kabla hujaanza kujilaumu.. Ups and downs ni kawaida kwenye stock market na hata huko duniani iko hivyo pia..

Mbona kuna wakati linapanda kuanzia billion 3 au 2 mpaka huko 30.. Achana na habari za siasa, kama unataka kununua stock tafuta broker akuelekeze sio hizi kelele za mabavicha na mauvccm..

Mfano mdogo; angalia hizi trend za mwaka jana... Mauzo jinsi yanavyofluctuate.. Isitoshe kuna factors nyingi zinazosababisha mauzo kupanda na kushuka. Kwa mwezi huu wiki iliyopita mauza yalikuwa juu sababu Vodacom waliingia rasmi na wengi walinunua shares na wiki hii ya mwisho mauzo yameshuka sababu Investors wengi wanasubiri quarterly reports za kampuni zilizoko DSE ili waone wapi ni viable kutupa pesa zao.. Perhaps hata wenyewe DSE walishatabiri hizi fluctuation na karata yao ikabaki wengi wanasubiri Telecommunication companies ziingie ndiko kuna safety ya kupiga pesa huko sababu kati ya sekta zinazokuwa kwa kasi nchini mawasiliano ni moja wapo...

View attachment 488070
usihangaike na hawa watu wasio fatilia ni juzi tuu mauzo na thamani ya hisa zilikuwa juu lakini hawakuleta hapa.
 
Hatua za kubana uchumi na biashara ambazo wazungu wanaziita austerity measures zitatumaliza. Karibu Bidhaa zote na huduma zote tunazopata hutoka sekta binafsi. Ndiyo hiyo imewekewa kitanzi shingoni, sijui tunaenda wapi. Yangu macho.
 
soko la hisa linasaidia kukuza mitaji ya biashara na makampuni hivyo kuchochea biashara,uwekezaji,mzunguko wa pesa, ajira, kodi kma pato la serikali na faida kibao sasa kw kukujibu tu kma ulivyouliza ieleweke kuwa SOKO LA HISA LIKISHUKA NDIO ANGUKO KUU
Basi twafwaaa
 
Bora huyo aliyejaribu kuelezea anachokifahamu kukiko ww ambaye hujaeleza chochote
Kama hujawahi kudeal na stock market utabaki kupiga kelele na kufuata mkumbo wa wanasiasa uchwara..

Stock business ni kama kamari... Kabla hujatupa pesa huko lazima ujihakikishie unakoweka pesa yako kutaizalisha..

Mfano mdogo tu nakuwekea trends za mwaka jana.. Angalia February mauzo yalikuwa kiasi gani alafu angalia mwezi uliofuata march yalikuwa kiasi gani... Alafu ruka mpaka June na July alafu angalia August then tizama September na October... Hizi fluctuation kwenye stock market ni kitu cha kawaida sana..
dse.png
 
usihangaike na hawa watu wasio fatilia ni juzi tuu mauzo na thamani ya hisa zilikuwa juu lakini hawakuleta hapa.
Yaap nakumbuka mauzo yalipanda kwa asilimia 97 kama nakumbuka vizuri..

Ni vema kukosoa lakini kila kitu kukichukulia negatively hata kama huna uelewa nacho ni jambo la kushangaza sana..
 
Back
Top Bottom