Nunua kabla hujaanza kujilaumu.. Ups and downs ni kawaida kwenye stock market na hata huko duniani iko hivyo pia..
Mbona kuna wakati linapanda kuanzia billion 3 au 2 mpaka huko 30.. Achana na habari za siasa, kama unataka kununua stock tafuta broker akuelekeze sio hizi kelele za mabavicha na mauvccm..
Mfano mdogo; angalia hizi trend za mwaka jana... Mauzo jinsi yanavyofluctuate.. Isitoshe kuna factors nyingi zinazosababisha mauzo kupanda na kushuka. Kwa mwezi huu wiki iliyopita mauza yalikuwa juu sababu Vodacom waliingia rasmi na wengi walinunua shares na wiki hii ya mwisho mauzo yameshuka sababu Investors wengi wanasubiri quarterly reports za kampuni zilizoko DSE ili waone wapi ni viable kutupa pesa zao.. Perhaps hata wenyewe DSE walishatabiri hizi fluctuation na karata yao ikabaki wengi wanasubiri Telecommunication companies ziingie ndiko kuna safety ya kupiga pesa huko sababu kati ya sekta zinazokuwa kwa kasi nchini mawasiliano ni moja wapo...
View attachment 488070