Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Yaani Bavicha wengi ni shuleess. Ukianzisha tu thread, wao wanafakamia wala hakuna wa kuhoji
 
Itakuwa vizuri mkimshika mbowe pia arudi class
mbowe anaingiaje kwenye mada ya securities na financial markets??? basi ingia hta wikipedia usome kuhusu stock exchange au security markets ndio urudi humu maana unatoa majibu mepesi sana kwa maswal magumu eti " WAPIGA DILI"......really???
 
HAPANA! Litafutwe neno lingine...
Hiyo ni red flag mbaya mno..!!


8a22b5f095e3d02eaa90e7903c775032.jpg
 
Yaani Bavicha wengi ni shuleess. Ukianzisha tu thread, wao wanafakamia wala hakuna wa kuhoji
mkuu bavicha ndio inaongoza DSE?? basi toa maoni yako je unaonaje soko la hisa limekufa ndani ya mwaka mmoja tu toka awamu ya 5 iingie?? je nni kimeenda mrama na ni lipi suluhisho ili twende mbele??
 
sina ujuzi sna n hil swal la hisa ingaw nataman ntenge muda nijielimishe faid n hasar zake,
 
Capital markets and securities exchange linaporomoka hivi ni ishara mbaya sana kiuchumi-tena bilion-32 hadi biliioni 3 da hili anguko ni la mwaka
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Vibaya sana nchi kuongozwa na mtu asiyejua economy na akawa hana wa kumshauri au hakubali ushauri. Kwa taarifa hii, soko la hiz=sa la Uganda, Rwanda etc yote ni makubwa kuliko la Dar lilokuwa lafuatia la Kenya. Ishara ya kwanza ya hali mbaya ya uchumi ni kuporomokamkwa soko la hisa. Nchi zilizoendelea, soko la hisa likiporomoka kwa pointi 100 tu wanasiasa wanaanza kujiuzulu!
 
soko la hisa linasaidia kukuza mitaji ya biashara na makampuni hivyo kuchochea biashara,uwekezaji,mzunguko wa pesa, ajira, kodi kma pato la serikali na faida kibao sasa kw kukujibu tu kma ulivyouliza ieleweke kuwa SOKO LA HISA LIKISHUKA NDIO ANGUKO KUU
Unaandika kwa lugha ya kitaalamu lakini kichwani ni upupu tu... Hujui hata soko la hisa linavyo'operate...

Yaani kwa kifupi wewe ni bure kabisa huna unachojua kuhusu stocks..
 
Sawa mauzo yanaweza kushuka lakini not to that extent
 
Ni kawaida pindi panapokuwa na ingizo la share mpya sokoni(Initial Public Offer) mauzo ya share zingine udolola.
Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwa
Sasa kwnye hzo figure za billion 32 hadi billion hai include mauzoya hisa za voda???
Elimu elimu elimu elimu-lowassa alikuwa sahihi
 
Unaandika kwa lugha ya kitaalamu lakini kichwani ni upupu tu... Hujui hata soko la hisa linavyo'operate...

Yaani kwa kifupi wewe ni bure kabisa huna unachojua kuhusu stocks..
Bora huyo aliyejaribu kuelezea anachokifahamu kukiko ww ambaye hujaeleza chochote
 
hahahaah mnaleta tuu mauzo ya kishuka...juzi tuu yalikuwa juu hamkuleta...
Watu wanaofatilia hisa na mauzo hapo DSE hawawezi shangaa maana jana tuu mauzo yalikuwa juu...
Hilo soko kila leo linabadilika....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kweli tena maana ujue acacia kwa mujibu wa mchumi wao tangia wazuiwe kupeleka makontena nje ya nchi kila siku wanakula loss ya zaidi ya mil.500

sio 500mlls tu alisema 1mill usd ambayo ni sawa na almost 2bills za tz ni hasara kubwa sana kwa taifa hasa pale watakapoamua kwenda kudai fidia mahakamani
 
A friend just shared with me this stock market story [emoji16]

A lot of monkeys lives near a village.[emoji205]

One day a merchant came to the village to buy these monkeys![emoji204]

He announced that he will buy the monkeys @ $100 each. [emoji87]

The villagers thought that this man is mad.[emoji849]

They thought how can somebody buy stray monkeys at $100 each?[emoji848]

Still, some people caught some monkeys and gave it to this merchant and he gave $100 for each monkey. [emoji51]

This news spread like wildfire and people caught monkeys and sold it to the merchant.[emoji51]

After a few days, the merchant announced that he will buy monkeys @ 200 each. [emoji6]

The lazy villagers also ran around to catch the remaining monkeys![emoji205]

They sold the remaining monkeys @ 200 each.[emoji205]

Then the merchant announced that he will buy monkeys @ 500 each![emoji50]

The villagers start to lose sleep! ... They caught six or seven monkeys, which was all that was left and got 500 each.[emoji87]

The villagers were waiting anxiously for the next announcement.[emoji6]

Then the merchant announced that he is going home for a week. And when he returns, he will buy monkeys @ 1000 each![emoji6]

He asked his employee to take care of the monkeys he bought. He was alone taking care of all the monkeys in a cage.[emoji205]

The merchant went home.[emoji6]

The villagers were very sad as there were no more monkeys left for them to sell it at $1000 each.☹️

Then the employee told them that he will sell some monkeys @ 700 each secretly. [emoji6]

This news spread like fire. Since the merchant buys monkey @ 1000 each, there is a 300 profit for each monkey.[emoji51]

The next day, villagers made a queue near the monkey cage.[emoji204][emoji857]

The employee sold all the monkeys at 700 each. The rich bought monkeys in big lots. The poor borrowed money from money lenders and also bought monkeys! [emoji87]

The villagers took care of their monkeys & waited for the merchant to return. [emoji857]

But nobody came! ...[emoji15] Then they ran to the employee ...[emoji849]

But he has already left too ![emoji6]

The villagers then realised that they have bought the useless stray monkeys @ 700 each and unable to sell them! [emoji30]

This business is known as the...
*STOCK MARKET* ..[emoji12]

It made a lot of people bankrupt and a few people filthy rich in this monkey business. [emoji205][emoji6][emoji28]

That's how the
stock market works....
 
Huu uzi huenda ukapelekea Jf kuzidi kupigiliwa msumari mkubwa na Tcra
 
Back
Top Bottom