Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbowe anaingiaje kwenye mada ya securities na financial markets??? basi ingia hta wikipedia usome kuhusu stock exchange au security markets ndio urudi humu maana unatoa majibu mepesi sana kwa maswal magumu eti " WAPIGA DILI"......really???Itakuwa vizuri mkimshika mbowe pia arudi class
mkuu bavicha ndio inaongoza DSE?? basi toa maoni yako je unaonaje soko la hisa limekufa ndani ya mwaka mmoja tu toka awamu ya 5 iingie?? je nni kimeenda mrama na ni lipi suluhisho ili twende mbele??Yaani Bavicha wengi ni shuleess. Ukianzisha tu thread, wao wanafakamia wala hakuna wa kuhoji
Unaandika kwa lugha ya kitaalamu lakini kichwani ni upupu tu... Hujui hata soko la hisa linavyo'operate...soko la hisa linasaidia kukuza mitaji ya biashara na makampuni hivyo kuchochea biashara,uwekezaji,mzunguko wa pesa, ajira, kodi kma pato la serikali na faida kibao sasa kw kukujibu tu kma ulivyouliza ieleweke kuwa SOKO LA HISA LIKISHUKA NDIO ANGUKO KUU
Hahaha una vituko una manishs hisa za vodacom zimesababisha hisa za makampuni mengine kutonunuliwaNi kawaida pindi panapokuwa na ingizo la share mpya sokoni(Initial Public Offer) mauzo ya share zingine udolola.
Bora huyo aliyejaribu kuelezea anachokifahamu kukiko ww ambaye hujaeleza chochoteUnaandika kwa lugha ya kitaalamu lakini kichwani ni upupu tu... Hujui hata soko la hisa linavyo'operate...
Yaani kwa kifupi wewe ni bure kabisa huna unachojua kuhusu stocks..
Kweli tena maana ujue acacia kwa mujibu wa mchumi wao tangia wazuiwe kupeleka makontena nje ya nchi kila siku wanakula loss ya zaidi ya mil.500
Sasa naamini ma zombie yapoLazima lianguke..maana pesa za anasa hakuna tena..litaanza kuinuka likiwa na pesa safi