ZILLAHENDER MPEMA
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 2,055
- 4,243
Hata libaki 0
Bado nitampigia kura Magufuli
kajifunze kuhusu multiplier effect ndo uone jinsi atakavyoathirika....... mfano serikali nayo inakosa kodi ambayo ingeweza enda jengea barabara kijijini kwake..... pia makampuni na wafanyabiashara kukosa mitaji ambayo ingeweza kufungua mabiashara na miradi huko njombe yangetoa ajira kwa ndugu zake na pia ingeongeza mzunguko wa pesa hivyo kma anauza bidhaa zake za kilimo angepata soko maana pesa ipo kwenye mzunguko hivyo wateja wanaongezeka and so on........hilo soko la hisa linamsaidiaje bibi yangu kule kijijini uwemba Njombe?
Atajulikana 2020..... na yeyote atakayesimamishwa will be intelligent enough to challenge maguHivi assume wengi humu hatutaki Magufuli apewe muhula wa pili. KITU AMBACHO NI HAKI YA KILA MPIGA KURA.
Swali langu ni nani ambaye anaweza kupewa hadhi ya kukaa lile jumba jeupe pale Magogoni ifikapo 2020? Hapa naulizia Upinzani. Maana CCM hakuna mwenye jeuri ya kumpinga asipewe second term.
Tusilalamike tuu..dreaming of changes bila kujadili...Mbadala wa MAGUFULI ni nani? Kule upinzani nani anaweza kuvaa viatu vya Uraisi na akawashawishi waTanzania kwamba anafaa kuwaongoza?.
Habari za mitandaoni Sisi Kama serikali hatuwezi kuchukua hatua Kwa habari Za mitandaoni.
Soro ameambiwa na China aache ku-bet kwenye ela yao ya Yuan...! Wakaongeza akiendelea watamshughulikia. Nadhani alijitafakari. Hao BBC na hao imf wanabet kutisha wawekezaji...!twaweza kuwakwamisha pia, wajiangalie.Alafu kesho utasikia uchumi wa Tz unakuwa kwa kasi sana...
Juzi tuu BBC huko imf wamesema uchumi wa Tz utashuka kutoka asilimia 7% ulipo sasa
Kwanza hujui hata Stock exchange ni nini na hujui hata ilipo sasa unahasara gani. Jiunge hata vicoba mama wananunua hisa unaweza kujifunzaHata libaki 0
Bado nitampigia kura Magufuli
Yeah. Zero huzaa zero
SayNoToDrugsLazima lianguke..maana pesa za anasa hakuna tena..litaanza kuinuka likiwa na pesa safi
mi ninachijua ukinunua hisa ni sawa na kupunguza pesa kwenye mzunguko badala ya kununua hisa bora kuwekeza kwenye biashara....ukiona soko la hisa limeshuka ina maana pesa iko mitaani inazungukakajifunze kuhusu multiplier effect ndo uone jinsi atakavyoathirika....... mfano serikali nayo inakosa kodi ambayo ingeweza enda jengea barabara kijijini kwake..... pia makampuni na wafanyabiashara kukosa mitaji ambayo ingeweza kufungua mabiashara na miradi huko njombe yangetoa ajira kwa ndugu zake na pia ingeongeza mzunguko wa pesa hivyo kma anauza bidhaa zake za kilimo angepata soko maana pesa ipo kwenye mzunguko hivyo wateja wanaongezeka and so on........
Saivi tunasoma namba ambazo hazina majina..
Ok kwa mfano acacia wawe listed DSE mzuie kontena zake na hivyo wakapata hasara then muwekezaji flani akaogopa kununua hisa za acacia akiamini atapata hasara huko baadae je huoni serikali itakosa kodi, ajiea migodini zitapungua, je mabodaboda na mama ntilie na wauza vocha maeneo ya migodini hawaathiriki??? guest na bar vpi?? embu tafakari tu huo mfano ndio uelewe nni maana ya soko likishuka.mi ninachijua ukinunua hisa ni sawa na kupunguza pesa kwenye mzunguko badala ya kununua hisa bora kuwekeza kwenye biashara....ukiona soko la hisa limeshuka ina maana pesa iko mitaani inazunguka
hapa tutakesha kubishana lakini kununua hisa hakumnufaishi mwananchi maana huyo anaenunua hisa angefanya biashara bado angelipa kodi na kuzalisha ajira kupitia hiyo biashara......Soko la hisa lingekuwa na manufaa Zaidi kama hayo makampuni yangepata wanunua hisa kutoka nje ya nchi hilo lingeungeza kipato cha ndani lakini kwa kutegemea pesa za ndani ni sawa na kutoa pesa kwenye mfuko wa shati na kupeleka kwenye mfuko wa suruali...hakuna faida kwa Taifa zaidi ya yule mwenye hisa zake!Ok kwa mfano acacia wawe listed DSE mzuie kontena zake na hivyo wakapata hasara then muwekezaji flani akaogopa kununua hisa za acacia akiamini atapata hasara huko baadae je huoni serikali itakosa kodi, ajiea migodini zitapungua, je mabodaboda na mama ntilie na wauza vocha maeneo ya migodini hawaathiriki??? guest na bar vpi?? embu tafakari tu huo mfano ndio uelewe nni maana ya soko likishuka.
Pia kuhusu pesa kutokuwepo kwenye mzunguko!! kumbuka hao wanaozipata huwa wanazizungusha maana hta benki na tasisi za kifedha zipo DSE hivyo wakipata pesa wanazizungusha kwenye biashara ya pesa hasa hati fungani huoni kma hati fungani inaipa serikali uwezo wa kifedha wa kujenga barabara na kutekeleza miradi ya maendeleo????au hilo nalo halimuathiri bibi yetu wa njombe!
Mi naona Chadema wanamhujumu mkuuLazima lianguke..maana pesa za anasa hakuna tena..litaanza kuinuka likiwa na pesa safi
sasa labda niseme concept ya income redistribution yaani pesa kwenye mifuko ya wachache inapelekwa kwenye mifuko ya wengi...... kwa mfano pesa kutoka mfuko wa mengi au rostam akinunua hisa voda inasaidia kukuza mtaji hivyo ajira kukua ssa nikuulize mengi si tayari kaajiri watu ssa akichangi kampuni nyinginr na yenyewe ikaongeza wafanyakazi huoni kuna upward shift ya employment rate??? mtu mmoja zaidi ataajiriwa, mti mmoja zaidi atapata pesa ta kulipa kodi kwa serikali kila mwezi, mtu mmoja zaidi atayapa faida mashirika ya bima na hifadhi ya jamii!!! hii sio faida??? je mfano wako wa shati na suruali hauna walakini kwa muktadha huu???hapa tutakesha kubishana lakini kununua hisa hakumnufaishi mwananchi maana huyo anaenunua hisa angefanya biashara bado angelipa kodi na kuzalisha ajira kupitia hiyo biashara......Soko la hisa lingekuwa na manufaa Zaidi kama hayo makampuni yangepata wanunua hisa kutoka nje ya nchi hilo lingeungeza kipato cha ndani lakini kwa kutegemea pesa za ndani ni sawa na kutoa pesa kwenye mfuko wa shati na kupeleka kwenye mfuko wa suruali...hakuna faida kwa Taifa zaidi ya yule mwenye hisa zake!