Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

hilo soko la hisa linamsaidiaje bibi yangu kule kijijini uwemba Njombe?
kajifunze kuhusu multiplier effect ndo uone jinsi atakavyoathirika....... mfano serikali nayo inakosa kodi ambayo ingeweza enda jengea barabara kijijini kwake..... pia makampuni na wafanyabiashara kukosa mitaji ambayo ingeweza kufungua mabiashara na miradi huko njombe yangetoa ajira kwa ndugu zake na pia ingeongeza mzunguko wa pesa hivyo kma anauza bidhaa zake za kilimo angepata soko maana pesa ipo kwenye mzunguko hivyo wateja wanaongezeka and so on........
 
Na bado kuna watu wataendeleza propaganda mbuzi katikati ya maporomoko haya ya uchumi wetu.
 
Hivi assume wengi humu hatutaki Magufuli apewe muhula wa pili. KITU AMBACHO NI HAKI YA KILA MPIGA KURA.

Swali langu ni nani ambaye anaweza kupewa hadhi ya kukaa lile jumba jeupe pale Magogoni ifikapo 2020? Hapa naulizia Upinzani. Maana CCM hakuna mwenye jeuri ya kumpinga asipewe second term.

Tusilalamike tuu..dreaming of changes bila kujadili...Mbadala wa MAGUFULI ni nani? Kule upinzani nani anaweza kuvaa viatu vya Uraisi na akawashawishi waTanzania kwamba anafaa kuwaongoza?.
Atajulikana 2020..... na yeyote atakayesimamishwa will be intelligent enough to challenge magu
 
Aseee.... [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️. Hii si nzuri
 
8a22b5f095e3d02eaa90e7903c775032.jpg
Habari za mitandaoni Sisi Kama serikali hatuwezi kuchukua hatua Kwa habari Za mitandaoni.
 
Alafu kesho utasikia uchumi wa Tz unakuwa kwa kasi sana...

Juzi tuu BBC huko imf wamesema uchumi wa Tz utashuka kutoka asilimia 7% ulipo sasa
Soro ameambiwa na China aache ku-bet kwenye ela yao ya Yuan...! Wakaongeza akiendelea watamshughulikia. Nadhani alijitafakari. Hao BBC na hao imf wanabet kutisha wawekezaji...!twaweza kuwakwamisha pia, wajiangalie.
 
kajifunze kuhusu multiplier effect ndo uone jinsi atakavyoathirika....... mfano serikali nayo inakosa kodi ambayo ingeweza enda jengea barabara kijijini kwake..... pia makampuni na wafanyabiashara kukosa mitaji ambayo ingeweza kufungua mabiashara na miradi huko njombe yangetoa ajira kwa ndugu zake na pia ingeongeza mzunguko wa pesa hivyo kma anauza bidhaa zake za kilimo angepata soko maana pesa ipo kwenye mzunguko hivyo wateja wanaongezeka and so on........
mi ninachijua ukinunua hisa ni sawa na kupunguza pesa kwenye mzunguko badala ya kununua hisa bora kuwekeza kwenye biashara....ukiona soko la hisa limeshuka ina maana pesa iko mitaani inazunguka
 
Saivi tunasoma namba ambazo hazina majina..

Ndo ccm iyo bwana kwani kila namba lzm tuisome.... Ila nasikitika hizi taharifa zote nyeti ziko chini ya TISS ili kuakikisha tabasamu la mkulu wa magogoni aliishi
 
mi ninachijua ukinunua hisa ni sawa na kupunguza pesa kwenye mzunguko badala ya kununua hisa bora kuwekeza kwenye biashara....ukiona soko la hisa limeshuka ina maana pesa iko mitaani inazunguka
Ok kwa mfano acacia wawe listed DSE mzuie kontena zake na hivyo wakapata hasara then muwekezaji flani akaogopa kununua hisa za acacia akiamini atapata hasara huko baadae je huoni serikali itakosa kodi, ajiea migodini zitapungua, je mabodaboda na mama ntilie na wauza vocha maeneo ya migodini hawaathiriki??? guest na bar vpi?? embu tafakari tu huo mfano ndio uelewe nni maana ya soko likishuka.

Pia kuhusu pesa kutokuwepo kwenye mzunguko!! kumbuka hao wanaozipata huwa wanazizungusha maana hta benki na tasisi za kifedha zipo DSE hivyo wakipata pesa wanazizungusha kwenye biashara ya pesa hasa hati fungani huoni kma hati fungani inaipa serikali uwezo wa kifedha wa kujenga barabara na kutekeleza miradi ya maendeleo????au hilo nalo halimuathiri bibi yetu wa njombe!
 
hapa tutakesha kubishana lakini kununua hisa hakumnufaishi mwananchi maana huyo anaenunua hisa angefanya biashara bado angelipa kodi na kuzalisha ajira kupitia hiyo biashara......Soko la hisa lingekuwa na manufaa Zaidi kama hayo makampuni yangepata wanunua hisa kutoka nje ya nchi hilo lingeungeza kipato cha ndani lakini kwa kutegemea pesa za ndani ni sawa na kutoa pesa kwenye mfuko wa shati na kupeleka kwenye mfuko wa suruali...hakuna faida kwa Taifa zaidi ya yule mwenye hisa zake!
 
sasa labda niseme concept ya income redistribution yaani pesa kwenye mifuko ya wachache inapelekwa kwenye mifuko ya wengi...... kwa mfano pesa kutoka mfuko wa mengi au rostam akinunua hisa voda inasaidia kukuza mtaji hivyo ajira kukua ssa nikuulize mengi si tayari kaajiri watu ssa akichangi kampuni nyinginr na yenyewe ikaongeza wafanyakazi huoni kuna upward shift ya employment rate??? mtu mmoja zaidi ataajiriwa, mti mmoja zaidi atapata pesa ta kulipa kodi kwa serikali kila mwezi, mtu mmoja zaidi atayapa faida mashirika ya bima na hifadhi ya jamii!!! hii sio faida??? je mfano wako wa shati na suruali hauna walakini kwa muktadha huu???
pia hata wawekezaji wa ndani ni muhim maana kumbuka pesa za ndani zikizungushwa zinaleta faida hta kma ni humu humu ndani ila faid aitapatikana!! maana multiplier effect inafanya kazi na hyo pesa hutumika kufanya biashara zenye faida ssa mpaka hapo pesa lazma ikue tu hivyo inarudi na faida kwa mwekezaji!! bado tu umeitoa mfuko suruali umeweka kwenye shati ILA na faid juu
 
Ukishakuwa na kiongozi mufilisi zero brain what do you expect
 
Back
Top Bottom