mkuu unajua huko marekani hizo album wananunuaje? hata ukidownload unalipia na mauzo yanajumlishwa kama kawa na style nyingine walizotumia kuuza eg cdMbona huko Marekani msanii anatoa albam ndani ya siku 3 anauza copy Mill 1 inamaana kwao hamna mitandao ya kuweza kudownload bure? kuna movie ya Fast & furious 7 imetoka ndan ya siku 2 walipata faida ya Bill 1!