Mauzo ya albamu za muziki Tanzania, Mkubwa Fela ataleta nafuu?

Mbona huko Marekani msanii anatoa albam ndani ya siku 3 anauza copy Mill 1 inamaana kwao hamna mitandao ya kuweza kudownload bure? kuna movie ya Fast & furious 7 imetoka ndan ya siku 2 walipata faida ya Bill 1!
mkuu unajua huko marekani hizo album wananunuaje? hata ukidownload unalipia na mauzo yanajumlishwa kama kawa na style nyingine walizotumia kuuza eg cd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…