kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Ulivyokazania sasa, daahNchi zenye uwekezaji wa AngloAmerica amelistukia hili dili lakini kwetu naona kimya
Mkuu, sio suala la bidding tu, wakati wa marger ya accacia na new Barrick, Barrick waliwakataa minor shareholders na ndio ikabidi acccacia wajitoe dse na lse, akina yakhe ikabidi watupiwe share zao, tungekuwa makini akina yakhe wangeshirikishwa kwenye new barrick na sasa wangekuwa wanaupiga mwingi
Mkuu unahisi Tanzania anaweza kubadili kitu hapo katika hiyo merging?
YeahKwanza Anglo America hamiliki mgodi wa GGM (Geita Gold Mine)
GGM inamilikiwa na AngloGold Ashanti.
AngloGold Ashanti iliundwa baada ya merger ya Anglo Gold na Ashanti Goldfields (hii ndo alikua anamiliki Anglo America)
Lkn baada ya hio merger Anglo America akauza hisa zake zote alizonazo kwenye AngloGold Ashanti.
Kwa hio Tanzania hana cha kusema sababu haiwahusu unless Anglo America awe anamiliki mgodi mwingine hapa tz kitu ambacho sidhan.
Yah GGM ni AngloGold Ashanti
Ila tahadhari ni muhimu tujifunze pia kesho utasikia hao BHP wanataka kununua GGM
ili tuwe na maamuzi kwa haraka
Sio tunavutana na fursa miaka zaidi kumi hutufikii maamuzi Kama bandari ya bagamoyo na Gas ya Mtwara na chuma leganga
tumezubaa tu hatuna maamuzi ya ndio au hapana[/QUOTE
Ok !Kwanza Anglo America hamiliki mgodi wa GGM (Geita Gold Mine)
GGM inamilikiwa na AngloGold Ashanti.
AngloGold Ashanti iliundwa baada ya merger ya Anglo Gold na Ashanti Goldfields (hii ndo alikua anamiliki Anglo America)
Lkn baada ya hio merger Anglo America akauza hisa zake zote alizonazo kwenye AngloGold Ashanti.
Kwa hio Tanzania hana cha kusema sababu haiwahusu unless Anglo America awe anamiliki mgodi mwingine hapa tz kitu ambacho sidhan.
Sina hakika na kama mmiliki wa mgodi tajwa anauza au vinginevyo.Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine maarufu kama GGM. Nchi nyingi zenye uwekezaji wa Anglo America ikiwemo Botswana South Africa zimetoa msimamo wao juu ya uwekezaji huo wa BHP.
Nasie watanzania tungependa kujua faida na athari iwapo BHP watainunua Anglo America. Ikumbukwe sekta ya madini ina mchango mkubwa katika upatikanaji wa fedha za kigeni ajira na biashara za wazawa na maamuzi yeyote yatakayo yanayoweza athiri sekta yetu ya madini ni vyema tukayatizama kwa jicho pevu.
Acquisition ni jambo la kawaida katika biashara ya kimataifa muhimu Sheria na maslahi ya Nchi yalindweKuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine maarufu kama GGM. Nchi nyingi zenye uwekezaji wa Anglo America ikiwemo Botswana South Africa zimetoa msimamo wao juu ya uwekezaji huo wa BHP.
Nasie watanzania tungependa kujua faida na athari iwapo BHP watainunua Anglo America. Ikumbukwe sekta ya madini ina mchango mkubwa katika upatikanaji wa fedha za kigeni ajira na biashara za wazawa na maamuzi yeyote yatakayo yanayoweza athiri sekta yetu ya madini ni vyema tukayatizama kwa jicho pevu.
Usingizi wa pono tuliolala wa Tz sijui ni laana au ninini!Nasie watanzania tungependa kujua faida na athari iwapo BHP watainunua Anglo America. Ikumbukwe sekta ya madini ina mchango mkubwa katika upatikanaji wa fedha za kigeni ajira na biashara za wazawa na maamuzi yeyote yatakayo yanayoweza athiri sekta yetu ya madini ni vyema tukayatizama kwa jicho pevu.
Kufungua macho ni jambo la msingi, japan hawana mgodi wa BHP wala Anglo lakini wanafuatilia kwa karibu hii biadhara, kwani deal hili kwa vyovyote lina trickle down effectshida ikwapi hapo?, Anglo anamiliki migodi mingi Duniani na BHP ni superpower pia, Serikali inahusikaje hapo kama kila contract kati ya GOT na Anglo inaendelea kama ilivyokuwa kwa BHP?
Japan na China no waathirika. Direct WA hili suala , maana wana sekta kubwa sana za heavy machinery and equipments manufacturing , ambapo metals kama copper ,chuma nk ndio man raw materials so BHP akitengeneza Monopoly anaweza pandisha bei ya hizo bidhaa sokoni kutokana na competition kuwa ndogo na kuongeza gharama za uzalishaji wa bidhaa za viwandani kama mitambo ,magari nkKufungua macho ni jambo la msingi, japan hawana mgodi wa BHP wala Anglo lakini wanafuatilia kwa karibu hii biadhara, kwani deal hili kwa vyovyote lina trickle down effect