Ni zile zile za Mchina,Zinatua Karia koo kisha Jongo,Zambia na MalawiHuku tumejaza bidhaa za mchina, SADC tunawauzia bidhaa tunzotengeneza sisi! Ni bidhaa gani hizo? Kwanini hatuuziwi na sisi ili tukuze viwanda vyetu?
Za Azam?Tano za nini? Mimi moja au mbili tu!😀
Labda “wheat flour “
CementTano za nini? Mimi moja au mbili tu![emoji3]
Labda “wheat flour “
Soma attachment, kama hujaelewa omba walio elewa wakusaidietaarifa ilio wekwa hapa haionyeshi tumesafirisha au kuuza bidhaa gani
Ufipa hawapendi kusikia haya! Salary Slip unaitwa huku?Mauzo ya bidhaa za kitanzania katika nchi za SADC yameripotiwa kuongeza maradufu katika mwaka 2017/18 ikilinganishwa na hapo nyuma, kwa mujibu wa ripoti ya BOT ya economic operations annually ya mwaka 2017/18 June inaonesha Tanzania imeendelea kuwa muuzaji wa bidhaa zake nje kwa ziada ya. biashara ya doLa milioni 445.5 mwaka 2017 hadi dolla milioni 397.2 mwaka 2016.
Taarifa Kama hizi ni viashiria tosha kwamba ndoto ya mhe Rais ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati anaitekeleza kwa vitendo kilichobaki ni kila mtanzania katika nafasi yake kuhakikisha anatekeleza majukumu yake ipasavyo ili hatimaye kuyafikia malengo na matamanio yetu!View attachment 985557
Mlemavu a.k.a msalitiThis is for Lissu!
View attachment 985582
Kule FDD watalipua mataluma kwa mabomu mkuu.Tusubiri kijana wetu aapishwe pale Congo DR tuendelee kufanya biashara nao kama kawaida. Infact SGR inapaswa kuelekezwa Congo (mwanachama mwenzetu katika SADC).
Huyu jamaa bado kalala kitandani huku ananyoosha vidole mpaka leo?This is for Lissu!
View attachment 985582
Siku anashuka Dar nitakutag.Huyu jamaa bado kalala kitandani huku ananyoosha vidole mpaka leo?
Mwache aendelee kulala na kuinua vidole.Siku anashuka Dar nitakutag.