Mauzo ya bidhaa za Tanzania katika nchi za SADC yaongezeka maradufu

Mauzo ya bidhaa za Tanzania katika nchi za SADC yaongezeka maradufu

Huku tumejaza bidhaa za mchina, SADC tunawauzia bidhaa tunzotengeneza sisi! Ni bidhaa gani hizo? Kwanini hatuuziwi na sisi ili tukuze viwanda vyetu?
Ni zile zile za Mchina,Zinatua Karia koo kisha Jongo,Zambia na Malawi
 
taarifa ilio wekwa hapa haionyeshi tumesafirisha au kuuza bidhaa gani
 
Mauzo ya bidhaa za kitanzania katika nchi za SADC yameripotiwa kuongeza maradufu katika mwaka 2017/18 ikilinganishwa na hapo nyuma, kwa mujibu wa ripoti ya BOT ya economic operations annually ya mwaka 2017/18 June inaonesha Tanzania imeendelea kuwa muuzaji wa bidhaa zake nje kwa ziada ya. biashara ya doLa milioni 445.5 mwaka 2017 hadi dolla milioni 397.2 mwaka 2016.

Taarifa Kama hizi ni viashiria tosha kwamba ndoto ya mhe Rais ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati anaitekeleza kwa vitendo kilichobaki ni kila mtanzania katika nafasi yake kuhakikisha anatekeleza majukumu yake ipasavyo ili hatimaye kuyafikia malengo na matamanio yetu!View attachment 985557
Ufipa hawapendi kusikia haya! Salary Slip unaitwa huku?
 
Naomba unitajie bizaa hata kumi tu mnazo uza huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom