Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Mauzo ya bidhaa za kitanzania katika nchi za SADC yameripotiwa kuongeza maradufu katika mwaka 2017/18 ikilinganishwa na hapo nyuma, kwa mujibu wa ripoti ya BOT ya economic operations annually ya mwaka 2017/18 June inaonesha Tanzania imeendelea kuwa muuzaji wa bidhaa zake nje kwa ziada ya. biashara ya doLa milioni 445.5 mwaka 2017 hadi dolla milioni 397.2 mwaka 2016.
Taarifa Kama hizi ni viashiria tosha kwamba ndoto ya mhe Rais ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati anaitekeleza kwa vitendo kilichobaki ni kila mtanzania katika nafasi yake kuhakikisha anatekeleza majukumu yake ipasavyo ili hatimaye kuyafikia malengo na matamanio yetu!