Mauzo ya bidhaa zetu nje yapungua kwa 50%!

Mauzo ya bidhaa zetu nje yapungua kwa 50%!

Ni habari za kusikitisha lakini lazima tuzisikie na kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu.
Kulingan na The Guardian gazeti la leo 2/10/2017, mauzo ya bidhaa za viwanda vyetu kwenda nje ya nchi, yamepungua kwa 46,5% kaika kipindi hiki cha mwaka mmoja.

Hizi ni habari za kushitusha sana.

Maana yake ni kwamba mapato yatakuwa yamepungua na vile vile ajira zitakuwa za wasi wasi.
Kulingana na The Guardian, mauzo hayo yanafikia Trilion 1.6($700 million).

Gazeti hili likikariri ripoti za Benki Kuu(BOT), toka May 2016 hadi May 2017 mapato yameshuka toka $1,516million hadi $ 811.4million.

Ingawaje sababu halisi za kushuka mapato haya hazijulikani, hata hivyo hili ni janga kubwa kwa uchumi wa nchi, hasa tukifikiria azama yetu ya kujenga uchumi wa viwanda.
mbele kwa mbele
 
Anachojua ni kubana matajiri Na kuwashusha ili wote tuwe Sawa, (kukomoa, ubabe ndo ideology yake), sasa tuone atatufikisha wap, till now mwaka wa 3 unakaribia direction ya nchi haijulikan, ajira hakuna, maisha yanazid kuwa magumu, ikulu panahitaj hekima
alisukumizwa huko kuwa Rais.
 
Nilisema Magufuli ataangusha uchumi. Watu wakabisha.

Hizo asilimia ni kubwa mno na sifahamu kama Watanzania wengi wanaelewa ukubwa wake.
Maisha ya ujanja ujanja na kuibiana goes to an end
 
Wewe ni Msaliti
unatetea wezi
Yy ni msomaji wa makala yenye Taarifa, sasa yule aliandaa hiyo Taarifa anaitwa nani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tusiwe waoga kupenda kujisomea!
 
Tutegemee pia kushuka kwa shilingi vs dolari. Sasahivi itafikia Tshs 2500/dollar
 
Back
Top Bottom