Mauzo ya data Tanzania ni hasara

Mauzo ya data Tanzania ni hasara

Ipande tena zaidi ya apa?buku tu mb 300,ukiangalia pilau video moja tu mb zimeisha
sasa kwan unadhan internet ni charity? its bussiness lazima na wao wanaangalia cost za kuendesha equipments zao nchini nzima, mafuundi wao pia! nchi zingine mfano kenya GB 1 ni ~ 10,000tsh, faida inapatikana na hata kuweka technology zingine mfano 5G ni chap tu
 
Basi tutarudi kwenye kuandikiana barua,"tukutane chini mti wa mwembe tarehe 1 june
 
Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara haitakua suluhisho.

Kuna mawili apa, either biashara za mawasiliano ztafungwa ama serikali ibebe jukumu ya kuongezea kiasi kidogo kufidia

Akuna wezi kama airtel,alafu wababaifu kwenye maswala network
 
Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara haitakua suluhisho.

Kuna mawili apa, either biashara za mawasiliano ztafungwa ama serikali ibebe jukumu ya kuongezea kiasi kidogo kufidia
hujachanganua ili kufikia hitimisho lako
kwani wakiuza sh 1 kwa MB wao wanachajiwa kiasi gani kwa wastani
inaweza kuwa kwa gharama zote wao wanatoa senti 30 kwa MB na hivyo kubakiwa na centi 70 kama faida
nawaza tu
 
hasara ni kitu cha kawaida sana, mbna makampuni mengi tu nchi za nje nazo hazipati faida, mfano youtube haijawahi kua na net profit na haijawahi kutoa gawio toka imeanzishwa, hata simba ni loss making hakuna cha kushangaza apo
Youtube ni bidhaa ndani ya kampuni na sio kampuni.

Haiwezi kulipa gawio wakati kaampuni inayomiliki hiyo bidhaa inapata faida.
 
get your facts right tena alafu urudi apa
 
hujachanganua ili kufikia hitimisho lako
kwani wakiuza sh 1 kwa MB wao wanachajiwa kiasi gani kwa wastani
inaweza kuwa kwa gharama zote wao wanatoa senti 30 kwa MB na hivyo kubakiwa na centi 70 kama faida
nawaza tu

- hio 70 nadhan bado kubwa sana, bei wanayotumia kununulia internet ukijumlisha na kodi tayar ni biashara hasara wanafanya!
 
Back
Top Bottom