Mauzo ya Iphone yawa mabaya, hisa za Apple zimeshuka sababu ya mauzo dhaifu

Mauzo ya Iphone yawa mabaya, hisa za Apple zimeshuka sababu ya mauzo dhaifu

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.

 
Apple iaminikaje?
 
Apple iaminikaje?
Hao ndio wanaitwa isheep ama kondoo wa apple.
 
Mbona kuna Thread ilifunguliwa humu inasema mauzo ya iphone12 yamevunja rekodi?
Mauzo haya hayahusiani na ya iphone 12, sasa hivi kampuni zinatangaza Q3 (mwezi wa 7, 8 na 9), mauzo ya iphone 12 ni mwezi huu wa 10 hivyo yatakuwa reported kwenye Q4 ( mwezi wa 10, 11 na 12)
 
Back
Top Bottom