The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Tena jamaa alisema mzgo sold out [emoji3]Mbona kuna Thread ilifunguliwa humu inasema mauzo ya iphone12 yamevunja rekodi?
Hao ndio wanaitwa isheep ama kondoo wa apple.Apple iaminikaje?
Iphone 12 Imevunja record ya Mauzo (Sold out)
October 13, apple waliachia iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 iphone11 simu 800k zilikua ordered. Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes...www.jamiiforums.com
mmbeya tu yule jamaa, Apple 12 ya kizembe sana isingefua dafu. Wamerudisha form factor ya 2015 bana πππ
iπHao ndio wanaitwa isheep ama kondoo wa apple.
Ndio namm nikshangaa inakuaje ile tofali ya 2015 ije kutesa 2020?mmbeya tu yule jamaa, Apple 12 ya kizembe sana isingefua dafu. Wamerudisha form factor ya 2015 bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wameyumba ila kondoo wa marehem steve job hawatakubali ππππNdio namm nikshangaa inakuaje ile tofali ya 2015 ije kutesa 2020?
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mauzo haya hayahusiani na ya iphone 12, sasa hivi kampuni zinatangaza Q3 (mwezi wa 7, 8 na 9), mauzo ya iphone 12 ni mwezi huu wa 10 hivyo yatakuwa reported kwenye Q4 ( mwezi wa 10, 11 na 12)Mbona kuna Thread ilifunguliwa humu inasema mauzo ya iphone12 yamevunja rekodi?