Baada ya rais kusema kuwa kwa wananchi wa Mtwara vyuma vimelegea kwa kuwa wanafanya kazi mashambani na kuvuna korosho na hatimae kuiuza na kupata pesa nyingi kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia.
Wanainchi wa Mtwara wameenda mbele zaidi na kusema mauzo yao ya korosho yanawapatia hela nyingi kiasi walimkamata ndege fulani fundi wa kudaka samaki majini aitwae Chechengo, ndege huyu ana mdomo mrefu na kichogo kirefu cha manyoya kwa hiyo inawawia vigumu kujua mbele ni wapi na nyuma ni wapi.
Basi walimkamata wakamfunga noti ya 10,000 mguuni (kwa jina lingine msimbazi) ili kusudi aende salon akanyoe ajulikane vizuri mdomoni ni wapi na kisogoni ni wapi. Hii ni kutokana na mauzo mengi ya korosho hadi Chechengo wanaenda salon siyo mbuzi kunywa bia peke yake na Chechengo nao wanafaidi.