Mauzo ya korosho - Mtwara kuchele

Mauzo ya korosho - Mtwara kuchele

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Baada ya rais kusema kuwa kwa wananchi wa Mtwara vyuma vimelegea kwa kuwa wanafanya kazi mashambani na kuvuna korosho na hatimae kuiuza na kupata pesa nyingi kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia.

Wanainchi wa Mtwara wameenda mbele zaidi na kusema mauzo yao ya korosho yanawapatia hela nyingi kiasi walimkamata ndege fulani fundi wa kudaka samaki majini aitwae Chechengo, ndege huyu ana mdomo mrefu na kichogo kirefu cha manyoya kwa hiyo inawawia vigumu kujua mbele ni wapi na nyuma ni wapi.

Basi walimkamata wakamfunga noti ya 10,000 mguuni (kwa jina lingine msimbazi) ili kusudi aende salon akanyoe ajulikane vizuri mdomoni ni wapi na kisogoni ni wapi. Hii ni kutokana na mauzo mengi ya korosho hadi Chechengo wanaenda salon siyo mbuzi kunywa bia peke yake na Chechengo nao wanafaidi.
 
Nauza mahindi mwenye uhitaji anione pm


Tatizo la zao lako ni kila nchi duniani inalima hiyo bidhaa kwa ajili ya mifugo yao, korosho ni taifa kubwa. Inatafunwa kwenye party za majuu as appetizer huku mchakato wa kutafuta hela ama kikao cha harusi kikiendelea. Mahindi majuu wanakula punda na mifugo mingine.
 
Mm nauza mashamba ya miti .miti tayari imeshapandwa zipo eka 5 . miti ya miaka 3
 
Tatizo la zao lako ni kila nchi duniani inalima hiyo bidhaa kwa ajili ya mifugo yao, korosho ni taifa kubwa. Inatafunwa kwenye party za majuu as appetizer huku mchakato wa kutafuta hela ama kikao cha harusi kikiendelea. Mahindi majuu wanakula punda na mifugo mingine.
We jamaa vpi?" mahindi sio zao langu, ni zao litokanalo na mimea,, Mimi sizai MAHINDI mkuu, Kiswahili kigumu sana!! Tujiendeleze zaidi,, mkuu zao langu mimi Ni watoto.
 
Back
Top Bottom