Mauzo ya korosho yaporomoka kwa 63 % - Dr Mpango

Mauzo ya korosho yaporomoka kwa 63 % - Dr Mpango

nadhani ule uliosomwa mchana ulikuwa ni mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka 2019/2020

bajeti bado hajasoma
 
ungeyasema haya kabla ya kauli hii ungeambiwa wewe mchochezi na lazima ungelala ndani na kesi ya uchochezi juu- hii ndiyo Tanzania yetu mpya
Afadhali alale ndani kuliko BAVICHA wanokatana mapanga kule Moro!
 
Back
Top Bottom