Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayo yamefichuliwa ndani ya bunge la Tanzania ambako hotuba ya bajeti inasomwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungeyasema haya kabla ya kauli hii ungeambiwa wewe mchochezi na lazima ungelala ndani na kesi ya uchochezi juu- hii ndiyo Tanzania yetu mpyaHayo yamefichuliwa ndani ya bunge la Tanzania ambako hotuba ya bajeti inasomwa
Kwani bunge live limeruhisiwa?Inasomwa saa hizi? Mbona sioni lolote tbc?
Kwa maana hiyo Mimi sitalipwa kilo za korosho zangu 1623Kwani bunge live limeruhisiwa?
Wewe umesikia wapi nataka nifuatilie bajetiKwani bunge live limeruhisiwa?
mpaka saa ngapi ?Bajeti huwa SAA 10 hivi jioni ......!!
Huwa inachukua takribani saa 2 hivi!mpaka saa ngapi ?
Afadhali alale ndani kuliko BAVICHA wanokatana mapanga kule Moro!ungeyasema haya kabla ya kauli hii ungeambiwa wewe mchochezi na lazima ungelala ndani na kesi ya uchochezi juu- hii ndiyo Tanzania yetu mpya
Loh, mpango anatumbuliwaHayo yamefichuliwa ndani ya bunge la Tanzania ambako hotuba ya bajeti inasomwa
Watakumbuka maneno ya Lema.
Mhusika anabebeshwa lawama wasaidizi wake wakati yeye ndio chanzo.
😀😀😀😀😀Wale team kusifu hapa wanapita kama wameona zirairu
Hii nyimbo ya injili lakini walevi wanaifurahia sana !Kuna muimbaji wa injli aliimba, zunguka, zunguka, zunguka eeee! Hili la korosho ni kizunguzungu.
lakini hii ni taarifa rasmi kutoka bungeni na unajua sisi wanajf siku zote tuko mbele sanaHuwa inachukua takribani saa 2 hivi!