Mauzo ya korosho yaporomoka kwa 63 % - Dr Mpango

Zile korosho watu walileta uswahili na dhahania wakati biashara hainaga mambo hayo
 
Kwani bunge live limeruhisiwa?
Halijaruhusiwa lakini leo ni Bajeti ya serikali ila majadiliano yakianza tutarudi gizani, watu wakafanye kazi! Si unajua wapinzani wataitoboatoboa matundu kibao, hiyo haitakiwi ni kwa ajili ya usalama wa nchi!
 
😨😨😨😨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…