Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia koroshow hpaAfadhali alale ndani kuliko BAVICHA wanokatana mapanga kule Moro!
unataka aitwe tena lile jina ?Amwambie mzee baba direct
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka aitwe tena lile jina ?
hahaaaaa unaendelea kutembea kifua mbereeeeeKorosho yote ya Mwaka wa mavuno uliopita Haijauzwa, sasa mporomoko ni 63% au 100%?
Halijaruhusiwa lakini leo ni Bajeti ya serikali ila majadiliano yakianza tutarudi gizani, watu wakafanye kazi! Si unajua wapinzani wataitoboatoboa matundu kibao, hiyo haitakiwi ni kwa ajili ya usalama wa nchi!Kwani bunge live limeruhisiwa?
😨😨😨😨Halijaruhusiwa lakini leo ni Bajeti ya serikali ila majadiliano yakianza tutarudi gizani, watu wakafanye kazi! Si unajua wapinzani wataitoboatoboa matundu kibao, hiyo haitakiwi ni kwa ajili ya usalama wa nchi!
Hivi na yeye ni miongoni mwa pumba2?unataka aitwe tena lile jina ?
TABIA ZA UNUNGAYEMBE ZITAKUFANYA UFE BILA KUOLEWA HATA KWENYE MITALAAfadhali alale ndani kuliko BAVICHA wanokatana mapanga kule Moro!