Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hata kwenye gari mkuu kuna vifaa vidogo sana ambavyo ukivitoa gari haiwaki lakini vinauzwa bei ndogo sanaKwanini mabeki hununuliwa kwa bei ndogo na hulipwa mishahara midogo kuliko washambuliaji na viungo?
🙄😥Beki wa mwisho kutwaa Ballon D'or ni Fabio Canavarro alifanya hivyo mwaka 2006 yaani miaka 14 iliyopita!
Hivyo nikijibu swali lako, dunia ya soka inawachukulia poa mabeki na ndio maana haishangazi wao hununuliwa kwa bei rahisi na ndio watu wa kwanza kulaumiwa timu ikifungwa!