Mauzo ya mabeki vs mauzo ya washambuliaji

Mauzo ya mabeki vs mauzo ya washambuliaji

Raha ya mpira magoli,
wanafanya kazi kubwa sana washambuliaji kutuburudisha.
 
Kwanini mabeki hununuliwa kwa bei ndogo na hulipwa mishahara midogo kuliko washambuliaji na viungo?
Hata kwenye gari mkuu kuna vifaa vidogo sana ambavyo ukivitoa gari haiwaki lakini vinauzwa bei ndogo sana
 
Beki wa mwisho kutwaa Ballon D'or ni Fabio Canavarro alifanya hivyo mwaka 2006 yaani miaka 14 iliyopita!

Hivyo nikijibu swali lako, dunia ya soka inawachukulia poa mabeki na ndio maana haishangazi wao hununuliwa kwa bei rahisi na ndio watu wa kwanza kulaumiwa timu ikifungwa!
 
🙄😥
 
Kwa hapa Bongo Mwamnyeto, beki wa Yanga ana thamani kubwa kuliko Mugalu mshambuliaji wa ile timu!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom