Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Vipi mkuu nikija omba ajira kwenya ndapata au bado mnaubaguzi. Kama SAAngalau sisi tunaunganisha vipuri kwanza ili kuleta ajira kwa vijana wetu. Maelfu ya vijana hapa Kenya wameajiriwa kuunganisha vipuri hivi na wanapata maarifa na ujuzi wa hali ya juu na pia wanapata ajira ya kila siku. Huko kwenu mnaagiza magari ambayo tayari yameshaunganishwa, kwa hivyo vijana wenu hawapati ajira. Nyinyi ndio mpo vibaya kutushinda.
Sasa ungesema tufanya assembling ya vitu vilivyo buniwa na wazunguPia assembling ni part of manufacturing process. Toa ushamba wako hapa.
Kama upo qualified na kama nafasi ya kazi ipo basi utapata.Vipi mkuu nikija omba ajira kwenya ndapata au bado mnaubaguzi. Kama SA
Za engineeringKama upo qualified na kama nafasi ya kazi ipo basi utapata.
Meza wembe.....Title ilitakiwa iwe ivi mauzo ya magari yaliyobuniwa nchi za nje kuanzia automation , engine system ,fuel system , battery system, structure,na kuyafanyia assembling hapa Kenya yameongezeka.
Gari kama zote hii dunia hua assembled, hio ndio process ya kutengeneza gari. Hata developed countries wanafanya assembly from parts manufactured elsewhere. They only own the brands.Nyie hamna kitu mnachotengeneza zaidi ya kuagiza vipuli na kuvipanga
Sasa wivu unakusaidia nini wewe jamaa?Title ilitakiwa iwe ivi mauzo ya magari yaliyobuniwa nchi za nje kuanzia automation , engine system ,fuel system , battery system, structure,na kuyafanyia assembling hapa Kenya yameongezeka.
True. Assembling is very much part of the manufacturing process but huyu jamaa anadhani ati assembling is not a part of the manufacturing process.Gari kama zote hii dunia hua assembled, hio ndio process ya kutengeneza gari. Hata developed countries wanafanya assembly from parts manufactured elsewhere. They only own the brands.
Je Sasa ni sahihi kujisifia kwa vitu ambavyo unavipanga tu, kwa kusoma manual tu , kitu ambacho hata ambaye hajasoma anafanya tuTrue. Assembling is very much part of the manufacturing process but huyu jamaa anadhani ati assembling is not a part of the manufacturing process.
Hapa sio wivu ni kuondoa majigambo, bado hatuna uwezoSasa wivu unakusaidia nini wewe jamaa?
Lakini Kuna watu wamebuni mfumo mzima wa hayo magari , ndo wanahati miliki, kwa Kuna shida mkisema tuna assemble hapa kenyaGari kama zote hii dunia hua assembled, hio ndio process ya kutengeneza gari. Hata developed countries wanafanya assembly from parts manufactured elsewhere. They only own the brands.
Shida Nini mpaka nimeze wembeMeza wembe.....