Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Vipi mkuu nikija omba ajira kwenya ndapata au bado mnaubaguzi. Kama SAAngalau sisi tunaunganisha vipuri kwanza ili kuleta ajira kwa vijana wetu. Maelfu ya vijana hapa Kenya wameajiriwa kuunganisha vipuri hivi na wanapata maarifa na ujuzi wa hali ya juu na pia wanapata ajira ya kila siku. Huko kwenu mnaagiza magari ambayo tayari yameshaunganishwa, kwa hivyo vijana wenu hawapati ajira. Nyinyi ndio mpo vibaya kutushinda.