Mauzo yanavutia lakini kwa faida ya laki 8 na matumizi laki 7 na elfu themanini nimehitimisha najitekenya, nimekubali kipigo till next time

Hiyo misiba imeingiaje kwenye biashara?
 
Mi nadhani lengo la Uzi ni kudiscourage biashara na kutetea ajira kuwa ni Bora kuliko biashara,si Kila mtu lazima afanye biashara wengine nyota yenu ni kuajiriwa
Ndio nyuzi zinazo trend JF. Failures wanajitahidi kukatisha wengine tamaa.
 
Usingefunga biashara,
 
Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock.
1.Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka.
2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani
3. Inaonyesha Kila bidhaa unayouza Ina faida ya sh. ngapi
4. Kama Kuna upotevu wa fedha inaonyesha.

INAFAA KUTUMIA KWENYE SMART PHONE AU COMPUTER

Ili kuitumia unatakiwa kuwa na rekodi sahihi za Kila manunuzi na mauzo ya Kila siku. Nicheki Whatsapp 0753546162
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…