ukweli mchungu👿 ila wengi watabisha!!Nguo nzuri ambayo haichoreshi maungo Yake na inayofunika sehemu zinazoamsha mzuka
Sababu kayabana matako? Na ndio wengi wanavyopenda kuvaa hivyo atajambaje sasa asipoyabana matakohajajistiri huyo
Km hivi? Mnataka mpaka ashindwe kujamba?Mavazi yanayofunika mwili na yasiyochora maumbile ndiyo mavazi ya kujistiri , huyo kwenye picha katika uislam bado siyo vazi la kujistiri
Km hiiNguo nzuri ambayo haichoreshi maungo Yake na inayofunika sehemu zinazoamsha mzuka
OyaaHaya ndio mavazi ya stara.View attachment 3282497
Huyo kavaa kiheshima sema kajaaliwa tu, hiyo nguo nikivaaa mimi inakua kama imetundikwa ndio unaweza ona nimejistiri kumbe utofauti ni maumbo.Stara maana yake maungo chonganishi hayaonekani, sasa huyo kwenye bango lako hajavaa stara, mzigo wote unaonekana, wale wazee wa pa pa pa pahhh, si wanaona mzigo na kuufanyia imagination😂🤣
Mbona wapo machakani?Haya ndio mavazi ya stara.View attachment 3282497
Msalimie Sana....Yaah kama hio tenah amesimama ww umekaa mwendokasi ni matatizo matupu
🤣 🤣 🤣Huyo kavaa kiheshima sema kajaaliwa tu, hiyo nguo nikivaaa mimi inakua kama imetundikwa ndio unaweza ona nimejistiri kumbe utofauti ni maumbo.
Aisee 🙆♀️Haya ndio mavazi ya stara.View attachment 3282497