Mavazi gani ya mwanamke yanahesabiwa ni mavazi ya kujisitiri "stara"?

Stara maana yake maungo chonganishi hayaonekani, sasa huyo kwenye bango lako hajavaa stara, mzigo wote unaonekana, wale wazee wa pa pa pa pahhh, si wanaona mzigo na kuufanyia imagination😂🤣
 
Stara maana yake maungo chonganishi hayaonekani, sasa huyo kwenye bango lako hajavaa stara, mzigo wote unaonekana, wale wazee wa pa pa pa pahhh, si wanaona mzigo na kuufanyia imagination😂🤣
Huyo kavaa kiheshima sema kajaaliwa tu, hiyo nguo nikivaaa mimi inakua kama imetundikwa ndio unaweza ona nimejistiri kumbe utofauti ni maumbo.
 
Huyo kavaa kiheshima sema kajaaliwa tu, hiyo nguo nikivaaa mimi inakua kama imetundikwa ndio unaweza ona nimejistiri kumbe utofauti ni maumbo.
🤣 🤣 🤣
Ukitizama vizuri kuanzia kifuani na kwingine kavaa nguo ya kumbana, siku hizi wanachukua zinazowabana, ili maungo yaonekane, kama ingekuwa nguo sio ya kumbana, mzigo ungeonekana kwa mbaali sana, na mgongo na tumbo visingeonekana.
Wengine wanachukua nguo za mikanda, pale karibu na mzigo anafunga mkanda, hivyo KIBINDA NKOI kinakuwa kinaonekana vizuri, haswa kama kajaaliwa cha wastani kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…