Mavazi gani ya mwanamke yanahesabiwa ni mavazi ya kujisitiri "stara"?

Hi I,ni katika "uislamu" tu au kiutu zaidi?
Kuna watu wanaona mwanamke akiambiwa ajistiri ni kama ananyanyaswa kwahiyo ni kiislam zaidi , kwa wale wanaoona mwanamke kujistiri ni kunyanyaswa kwao wanaweza kuona hiyo ni stara
 
Kuna watu wanaona mwanamke akiambiwa ajistiri ni kama ananyanyaswa kwahiyo ni kiislam zaidi , kwa wale wanaoona mwanamke kujistiri ni kunyanyaswa kwao wanaweza kuona hiyo ni stara
Ni uislamu ulioleta uvaaji huo au ni utamaduni,desturi na kawaida ya hao watu hata kabla ya uislamu kujigubika kukwepa vumbi,jua na upepo?
 
Ni uislamu ulioleta uvaaji huo au ni utamaduni,desturi na kawaida ya hao watu hata kabla ya uislamu kujigubika kukwepa vumbi,jua na upepo?
Babu zako walivyokua wanajifunika majani ya mgomba walikua wanawepa nini au joto
 
Africa ukiziba uchi umeishajisitiri. Na kidogo baadhi ya jamii huziba na maziwa. Hayo ndiyo maadili ya mwafrika. Uko ndiko kujisitiri kwa mwafrika.
 
Your browser is not able to display this video.
 
  1. Kujisitiri dhidi ya nani?
  2. Kwa utamaduni wa wapi?
Hawa ni Wahatsambe wa Tanzania nao kwa culture yao wamejisitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…