Mavazi mengine bwana!!!!!

Halafu hiyo kata nyonyo imezidi jamani, mpaka makanisani ...? wakinadada zindukeni...!!
 
Akina dada wanaotembea uchi ni mazuzu tu,hawajui thamani ya miili yao.Hivi hawajiulizi mbona wanaume huwa hawakai uchi?mwingine ukimuuliza atakwambia eti mpenzi wangu anapenda nivae hivi.Huyo ni mpenzi gani anaekutembeza uchi?mbona yeye hatembei uchi?huoni kama unajidhalilisha?Amkeni huo ni ulimbukeni tu.au ndo biashara matangazo.?
 
Jamani naulizia jinsi ya kupata avarta na kuibandika humu
 
huu ni upunguani this is what i can say!!!?
 
Huyu mwanaume ni mwanamuziki wa bendi moja Dar
 
Acheni ushamba wee na mwenzako kibhopile. Hiyo siyo miwani. Aliye-upload picha ameficha macho ya walo katika picha kwa makusudi ili kulinda maadiri, ametumia adobe photoshop kuedit picha kwa kuweka miwani pamoja na ndevu

Umeambiwa nani hajaelewa kwamba ndio hivyo ?
Labda mjinga ni wewe unae assume kuwa wengine wote vilaza ila wewe tu ndo smart!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…