Mavazi mengine bwana!!!!!

Mavazi mengine bwana!!!!!

Halafu hiyo kata nyonyo imezidi jamani, mpaka makanisani ...? wakinadada zindukeni...!!
 
attachment.php


Mwenzenu muoga lakini nasikia hawa watu ni maarufu humu mjini ni couple, sasa huyu mume ameacha chakula ya mtoto wake inaangaliwa na kila mtu sijui ndio fashion!!!View attachment 14901

Ulipowavisha miwani, ungewapatia na fimbo za kutembelea, maana watajikwaa
 
Akina dada wanaotembea uchi ni mazuzu tu,hawajui thamani ya miili yao.Hivi hawajiulizi mbona wanaume huwa hawakai uchi?mwingine ukimuuliza atakwambia eti mpenzi wangu anapenda nivae hivi.Huyo ni mpenzi gani anaekutembeza uchi?mbona yeye hatembei uchi?huoni kama unajidhalilisha?Amkeni huo ni ulimbukeni tu.au ndo biashara matangazo.?
 
Jamani naulizia jinsi ya kupata avarta na kuibandika humu
 
huu ni upunguani this is what i can say!!!?
 
Acheni ushamba wee na mwenzako kibhopile. Hiyo siyo miwani. Aliye-upload picha ameficha macho ya walo katika picha kwa makusudi ili kulinda maadiri, ametumia adobe photoshop kuedit picha kwa kuweka miwani pamoja na ndevu

Umeambiwa nani hajaelewa kwamba ndio hivyo ?
Labda mjinga ni wewe unae assume kuwa wengine wote vilaza ila wewe tu ndo smart!!
 
Back
Top Bottom