heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ni project aliyoipanga siku nyingi kuandaa tshirts na kofia maalumu kwa mashabiki zake. Ilikuwa zitoke mwishoni mwa mwaka 2013 lakini Diamond ni mtu asiyependa kuharakisha mambo, na anapenda afanye kitu chenye ubora unaotakiwa yupo radhi project yake, iwe wimbo ama chochote kichukue hata miezi ilimradi mwisho wa siku ipatikane product nzuri.
Kipindi ameenda china alitoa oder but logo waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia, hakuzipenda, alizikataa na kukubali hasara ya million kadhaa
na sasa anaandaa upya.
Soon zitakuwa mtaani.
===== Updates =====
========== UPDATES ================
Kipindi ameenda china alitoa oder but logo waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia, hakuzipenda, alizikataa na kukubali hasara ya million kadhaa
na sasa anaandaa upya.
Soon zitakuwa mtaani.
===== Updates =====
View attachment 138354
Awali niliwataarifu kuhusu Diamond kuja na mavazi yake, tshirts na kofia vikiwa na nembo ya wasafi classic.
Hatua ya utengenezaji wa logo ishakamilika (logo zimedizainiwa na kifesi aka H.O.D) na mzigo utakuwa out ndani ya hizi siku mbili..
FANS WOTE WA DIAMOND NA WASAFI CLASSIC MKAE TAYARI KWA CLOTHING LINE YA UKWELI
Ahsanteni.
========== UPDATES ================
View attachment 138531
Hii ni moja ya tshirt zitakazotoka,siyo dizain hii zipo dizain tofauti tofaut(WCB,WASAFI CLASSIC,WCB FOR LIFE etc) na fonts tofaut tofaut
zikiwa na langi tofaut ,ikiwemo nyeusi,red white ni chaguo lako. Once again i feel proud kuona matunda ya kaz mikono yangu(kudizain logo)
More update zitakuja,lin zinatoka na waip utazipata na gharama
NB:Zikiwa tayari,yeyote atakaehitaj kufaham namna ya kuzipata pamoja na order namba zangu zipo wazi
0762052850