Mavazi na kofia zenye nembo ya Diamond

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ni project aliyoipanga siku nyingi kuandaa tshirts na kofia maalumu kwa mashabiki zake. Ilikuwa zitoke mwishoni mwa mwaka 2013 lakini Diamond ni mtu asiyependa kuharakisha mambo, na anapenda afanye kitu chenye ubora unaotakiwa yupo radhi project yake, iwe wimbo ama chochote kichukue hata miezi ilimradi mwisho wa siku ipatikane product nzuri.

Kipindi ameenda china alitoa oder but logo waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia, hakuzipenda, alizikataa na kukubali hasara ya million kadhaa
na sasa anaandaa upya.

Soon zitakuwa mtaani.

===== Updates =====



========== UPDATES ================

 

Ahsante kwa taarifa
 
Leo umeripot vizur ,dah siku nyingine unambwera. Hongera kwa kuchnge attitude. :thumbup:
 
Hayaa na wadada anaowapitia awawekee nembo kabisaa ili wajuane
 
Naweka oda plz, zikifika tu niwekee tishirt 2,na kofia medium size moja yangu nyingine ya snowhite
 
Last edited by a moderator:
Afungue hata ka restaurant kama jide awachie hiyo kazi wamachinga, besides biashar kama izo sio za kuzipa promo kihivyo coz imekaa kishabik mno so afanye biashara ya maana, ingawa nampongeza kwa kufikiria biashar ya kufanya
 

Picha weka saasa
 
Najua kila mtu akimpenda msanii fulani basi atampa sifa zote hata kama ana kasoro. Hio yakubalika kabisa katika maisha ya kawaida lakini sifa nyingine bana zimevuka mipaka ya kuzidi uongo. Sasa ukisema Diamond amekubali hasara ya mamilioni kadhaa unamaanisha nini?!? Hata Bill Gates mwenyewe hawezi kukubali kuenda hasara hata kidogo itakuwa kuja Diamond....Sifa nyingine zipewe uzani kabla hujaziweka kwa umma aisee!

Kipindi ameenda china alitoa oder but logo waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia, hakuzipenda, alizikataa na kukubali hasara ya million kadhaa
na sasa anaandaa upya.
 
waliprint tofauti na tulivyokuwa tumepangilia,

hahahaha! eti "tuli',,,na wewe unapangilia na diamond mipango yake..wewe si ulisema hapa haitokaa itokee penny na domo kuachana coz soon wataoana?? ukaingia hadi chumbani kuwapiga picha, we lazma utakuwa tikitiki maji c bure
 
katika hiyo project chief kiumbe ana hisa asilimia ngapi?
 
katika hiyo project chief kiumbe ana hisa asilimia ngapi?

wewe nawe sikuhizi umemgeuka Diamond,mbona ndo ulikuwa unaongoza humu jukwaani kwa kumuita 'Mnyama' 'Sukari ya warembo' 'Anamega watoto wakali' Leo hata wewe wampiga majungu?Hahaha ama kweli ya Leo sio ya jana
 
wewe nawe sikuhizi umemgeuka Diamond,mbona ndo ulikuwa unaongoza humu jukwaani kwa kumuita 'Mnyama' 'Sukari ya warembo' 'Anamega watoto wakali' Leo hata wewe wampiga majungu?Hahaha ama kweli ya Leo sio ya jana

utakuwa hujanisoma vizuri bab!mimi naongea vitu vya kweli na kamwe simpambi mtu hata akifeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…