mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
Si kweli kuwa kila mvaa kimini anamtega mwanaume nakataa mfano last week nilikuwa kwenye k/party km unavojua hivi ni ya kinadada watupu lakini watu walivaa vimini vya hatari SWALI hebu nambie Hapo walikuwa wanamtega nani sasa.!?
Sikatai wapo wanaotega wanaume lkn si wote wengine ni fashion tu.
mimi nakubaliana na wewe kwa upande moja kua sio wote wanaotega watu.ila pia kumbuka huwezu kumjua anayevaa kama fashion na anayetega waume.ila nilichokua nimekilenga ni asili ya vimini hivyo kua tumeletewa hayo na wazungu sio asili yetu kama wa africa.na hao wazungu wana malengo yao juu yetu na lengo lao nikutupoteza na asili zetu za kuvaa kiheshima kwa kujiatiri miiliyetu.