Mavazi rasmi ya ndani kwa akina dada ni yapi

Mavazi rasmi ya ndani kwa akina dada ni yapi

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Nimekuwa nikijiuliza wasichana hasa wanatakiwa kuvaa nguo gani ndani.

Wengne nimeona huvaa chupi pekee, wengine chupi inayobana wengine chupi na underskirt, wengine kuvaa tyt pekee bila chupi, na wengine kuvaa underskirt pekee bila chupi na wengine kutovaa kabisa.

Sasa ikanichanganya kidogo nikaona niulize, ni yapi mavazi rasmi ya wanawake kuvaa ndani ya sketi?
 
Utafiti huo umeufanyaje coz kama we me dah!utakua umewavua vyupi sana ila kama ni ke utupe majibu why?
 
Chochote kinachovaliwa ndani ya nguo ingine ndiyo nguo ya ndani!! Iwe boxer, kaptula au gagulo bora imevaliwa ndani!!
 
duuh nalo neno, me nawasubir wadada waje watujibu.... bt for me naona yoyote ila istili mwili...
 
nani amenionea Jawilat? ana ubuyu mzuri sana anapitishaga humu.
 
Last edited by a moderator:
Mi wa huku kijijini bwana naona mengi kweli!

Mwanamke akishakupigia chupi yake, anapandisha pensi, anapiga sketi anaongeza na Kitenge au Khanga!

Tamaaa ya ngono itakuja saa ngapi?

Usishangae kukutana na bikra wa miaka 22 huku Bush bwana!

Mavazi ya mabinti wa huku yanasaidia sana kutunza heshima!
 
tpmazembe

Kwa sampuli ulizofanyia utafiti na kugundua hakuna inayofanana na mwenzake basi tujiridhishe tu kwamba hakuna nguo rasmi ya ndani!
 
Last edited by a moderator:
hakuna mavazi rasmi yanayotakiwa yavaliwe ila watu huvaa jinsi wapendavyo au anakuwa na sababu maalum za kuvaa aina fulani ya nguo ya ndani kwa mfano wengi huvaa chupi , ila tyt ni jinsi mtuanavopenda au inategemea na maumbile yake kwa wale ambao wakitembea mapaja yanasuguana hupenda kuvaa tyt ili wasichubuke, undersketi wengi huvaa kama wamevaa nguo zinazoonyesha sana. ila kuna wengine huvaa zote kwa pamoja chupi,skin tyt na undersketi na hawajiskii comfortable kama wasipovaa
 
Back
Top Bottom