Mavazi rasmi ya ndani kwa akina dada ni yapi

Mavazi rasmi ya ndani kwa akina dada ni yapi

kila mtu anavaa kwa uchaguzi wake sema hii ya kutovaa kabisa ni kama mpya na inakuja kwa kasi
 
Hawasemi ila wanawake watown noma unaona bikin ilee mm huwa najiuliza hawapatagi tabu kwel mm najua kiheshima moja ya vazi la ndan gagulo sjui ndo mwaliitaje
 
Hawasemi ila wanawake watown noma unaona bikin ilee mm huwa najiuliza hawapatagi tabu kwel mm najua kiheshima moja ya vazi la ndan gagulo sjui ndo mwaliitaje

Sijakuelewa bikin inatabu gani??
 
Mambo ya ndani ya wadada wewe mwanaume unataka uyajue ili yakusaidie nini?
 
Mambo ya ngoswe kuitwa ngoswe mwachie mwenyewe ngoswe
 
Inategemea na vazi unalovaa juu

Mfano kama unavaa suruali ya jeans-normal underwear/bikini/thong

Kama unavaa suruali ya kitambaa-skin tight ili mistari ya chupi isijichore

Kama unavaa gauni -unaweza vaa chochote hata gagulo😅/underskirt na shimizi

Kama unavaa sketi-underskirt yafaa pia nk

Huwa tunavyo vyote unavaa kuendana na mazingira na nguo

Uko Dar ni joto huwezi vaa chupi na tight..utachagua kimoja
Kwenye baridi utavaa chupi/tight na gagulo ndio gauni ifuate juu
 
Back
Top Bottom