Inategemea na vazi unalovaa juu
Mfano kama unavaa suruali ya jeans-normal underwear/bikini/thong
Kama unavaa suruali ya kitambaa-skin tight ili mistari ya chupi isijichore
Kama unavaa gauni -unaweza vaa chochote hata gagulo😅/underskirt na shimizi
Kama unavaa sketi-underskirt yafaa pia nk
Huwa tunavyo vyote unavaa kuendana na mazingira na nguo
Uko Dar ni joto huwezi vaa chupi na tight..utachagua kimoja
Kwenye baridi utavaa chupi/tight na gagulo ndio gauni ifuate juu