hajjmakwato
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 233
- 156
Unataka wote wavae hijabu?
Mimi mliberali,kwani nilishawahi kukuingilia?Jhajasema hivyo.......wewe utakuwa mliberali
tema mate tuwachape wanaovaa vibaya kanisaniNatanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Biashara ni matangazo ndugu yangu. Watu tunataka tuone miguu ya bia na compyuta mpakato.Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
<kuwa mstaarabu,aliyekuingila unamjua mwenyewe, viroba v
Sio dini ya kweli hiyo.Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
kabla ya wazungu kutuletea hizi dini tulikuwa tunavaa majani na ngozi za wanyama,yaani tulikuwa robo uchi nafikiri ili kuwa ni zaidi sodoma na gomora!Maadili ndugu yangu eti kwenda na wakati hata mbele za Mungu. Na wakati wenyewe ndio huo wa kutembea nusu uchi. Kweli hizi zama ni zaidi ya sodoma na gomora. Tatizo jamii haioni labda imejichokea kufunza maadili mema.
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Unataka wote wavae hijabu?
usiangaike sana mkuu, wewe mwambie mamako avae hivyo ili upate kujua huwa inakuwaje!sitaki wavae hijabu nataka wavae night dress ili tujue km vipi...
Teh teh teh!mkuu hapa ilikuwa shuleni au baa!
Sio dini ya kweli hiyo.